Kwa wadada tu..

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Hivi ni kwa nini wadada wengi huwa wanapenda kuchezea nywele za vifuani mwa wanaume pindi wanapokua faragha?

sasa si zinaitwa garden love

wafanyaje sasa????????

Hivi ni kwa nini wadada wengi huwa wanapenda kuchezea nywele za vifuani mwa wanaume pindi wanapokua faragha?

Senetor unatangaza biashara au vipi
oooooppppsss kumbe alisema ni wanawake tuu wanahitajika kuchangia

Senetor unatangaza biashara au vipi

oooooppppsss kumbe alisema ni wanawake tuu wanahitajika kuchangia

mimi cna hayo manywele ya kifuan ila nimepta sehem nkaskia wa2 wanapga story hzo,ndo nikaone niwashrkshe wa wadada wa humu.

sasa si zinaitwa garden love

wafanyaje sasa????????

kwa hyo cc ambao ha2na,ndo tayari 2mepoteza sifa za kupendwa au?

kwa hyo cc ambao ha2na,ndo tayari 2mepoteza sifa za kupendwa au?

mtapendwa vile mlivyo.
Kwanza watu si tunaanza kupendana kwanza halafu magarden love yanajulikana b'daeee au!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…