Who's the b*tch looking at you as if she knows you?
I don't ask that question, nilikua nanukuu maswali ya kuwakera wanaume ambayo hata mimi yana nikera.Calling a fellow woman the B word just for looking at a man(your man) is just wrong.
Okoa mahusiano yako kwa kuepuka maswali ya kipuuzi kama haya....
1. Uko wap?
2. Wafanya nin?
3. Huli leo?..
.. Mengine mwayajua wenyewe.. Yanatukera. Take care.
I don't ask that question, nilikua nanukuu maswali ya kuwakera wanaume ambayo hata mimi yana nikera.
Hahahaha, hata akihusika sasa unamtukania nini mwanamke? mtukane huyo ulie na makubaliano nae. lolOhh good to know that.
Nilidhani na wewe ni mmoja wa wale wanaotukana wenzao hata kwa kupendeza tu au kuangaliwa na wanaume wao bila hata wahusika kujua.
Hahahaha, hata akihusika sasa unamtukania nini mwanamke? mtukane huyo ulie na makubaliano nae. lol
Mimi hayo maswali huwa siulizi kabisa, nakumbuka kuna siku Gozi liliniuliza "hivi wewe hata huniulizi niko wapi, nafanya nini". Nikamwambia kabla sijakuuliza wewe mwenyewe unaniambia na nnajuwa kokote ulipo na lolote ufanyalo ni kwa ajili yetu mradi ukumbuke kuwa unayoyafanya yote ni ya halali. Akacheeeka.
Yes, kuna maswali ambayo muulizaji unaweza kujiona ni hodari lakini yanakuwa so embarassing kwa unaemuuliza, maswali namna hiyo hayana jema.
Tatizo kubwa ni kwamba wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Wanasikiliza NUSU, wanaelewa ROBO, lakini wanaongea mara MBILI. Sitaki kabisa maswali ya kipuzi, nitakuzaba mabao na kukupa kibano kama mbwa mwizi.
Okoa mahusiano yako kwa kuepuka maswali ya kipuuzi kama haya....
1. Uko wap?
2. Wafanya nin?
3. Huli leo?..
.. Mengine mwayajua wenyewe.. Yanatukera. Take care.
Okoa mahusiano yako kwa kuepuka maswali ya kipuuzi kama haya....
1. Uko wap?
2. Wafanya nin?
3. Huli leo?..
.. Mengine mwayajua wenyewe.. Yanatukera. Take care.
Yanaboa sana hayo maswali.