Kwa wadada tu

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Kuelekea kwa show kubwa inayokuja ya p-squre, ninatoa kama zawad, kama wewe ni a lady na unapenda kujirusha na burudan na ku-have fun , na mostly hauko kwenye serious relationship ama single, siku hio nataka kutoka na wewe na ntakulipia and we will have fun and watch hawa jamaa, and from that moment tutakua together kama wapenz, kwa hio nimeamua kutafuta my love kwa njia hii, msi-criticize...so if interested plz ni-pm..look forward to meet that special lady:tonguez::A S tongue::car::A S 576::A S-heart-2:
 

Wanakuja... Duh hizi ndoto oevu ama?
 
Duh, kwa hiyo unataka kutumia sytle hii kutafuta mpnz? Any way hapo watakuja wengi hata madada poa...
 
  • Napita, Vipi akiwa na vigezo kama hivi pichani?
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…