Kwa Wadada tu...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,101
Reaction score
1,952
.. Mie ni mtu wa makamo kiasi. Nimeachwa (japo si kwa mambo ya kushindwa ngono - na kumtoa mtu (mwanamke) out sishindwi-, je kuna mwanaJF (mwanamke) anaetafuta mwanaume alie-serious (Tigo situmii na wala sitaki hata kufikiria)?

Alie serious na anai-PM
 
Nimetuma Pm kama 4 hivi umezipata??? nasubiri majibu:whoo::whoo:
 
hadi umekuja hapa..basi haupo serious

Kwanini Tausi? hapa kuna wanawake wa maana sana na wengi wao wanastahili kabisa kuwa wake za watu ambao wako serious katika kutafuta wenzi wao. Nimesoma siku za nyuma hapa jamvini kuna watu wameshaoana au wako mbioni kuoana.

INANIPA MASHAKA ... humu unakuta wengi wanatania zaidi... hawako serious bana!
Kama kuna watu wamekutania JF wakaoana basi ni maajabu!
 
It's so easy to fall in love but hard to find someone who will catch you...............

.........We waste time looking for the perfect lover, instead of creating the perfect love.
 
It's so easy to fall in love but hard to find someone who will catch you...............

.........We waste time looking for the perfect lover, instead of creating the perfect love.
ooooopppssss!!!!!! what you have said is verry verry important to everry one to understand it,,,,,:yuck::yuck::yuck:
 
It's so easy to fall in love but hard to find someone who will catch you...............

.........We waste time looking for the perfect lover, instead of creating the perfect love.

kweli mpendwa. ni ushauri mzuri sana. insteady of finding a perfect one, just create one for you and leave God to promote and protect you
 
hiyo sababu ya wewe kuachwa haitamuathiri huyo mwingine ajae?.....nimeuliza tuu
 
oooops! Sorry mi sio mdada ila nimepita tu kwa bahati mbaya. Eleza sifa zako unaweza kubahatika.
 
Jamani msimkatishe tamaa, ni kweli kuna watu wanafanya utani wa mahusiano humu ndani lakini pia wengine wako serious, hivyo endeleeni kum-PM mhitaji wale wote wenye sifa.

Itakuwa ni historia na sifa nyingine kwa JF kuwa kiungo cha ndoa. Mimi pia nina mipango ya kutafuta humuhumu JF mwenza wangu mda ukifika, kwani maneno matamu ya keyboard ya warembo wa JF (hasa katika jukwaa hili) yananimaliza kabisa.
 
mimi nitakutafuta,lakini bora utupe maelezo zaidi,nina amini ipo siku na mimi nitapata wangu humu humu
 
toa sababu za kuachwa kwanza ndio turuhusu dada zetu hapa JF waonyeshe interest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…