Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Hii ni kuvaa ngozi ya kondoo wakati ndani ni mbwa mwitu
Be your self na haya mambo ya kupretend kuwa uko hivi kumbe uko vile hayana nafasi kabisa
Naamini katika msimamo au katika hali halisi ya kuwa mimi ni mimi na kile ninachofanya kwa wakati huo niko right na sifanyi kumfurahisha mtu na hilo ndio la maana
Inategemea na aina ya mabadiliko
Kuna mabadiliko positive yes yanakubalika kwa wakati wote
Ila kuna mabadiliko negative na ambayo mwenza wako anaweza kuyakubali
Ila isipretend kwa mwenzako wala usitake kuvaa ngozi ya kondoo wakati wewe ni mbwa mwitu
Nakubali kuna mambo ambayo kweli ukishakuwa kwenye mahusiano inabidi uyaache na kuyazika na kubadili hata style ya maisha yako
Ila muhimu isiyafanye shingo upande kuona kwamba umelazimishwa na mahusiano hayo ndo maana umeamua kubadilika
badilika kwa kuwa umeamua na sio kwamba kuna forces behind inayokufanya ubadilike
UNAPOKUWA NI MCHUMBA WA MTU, HASWAKWA YULE AMBAYE UNAFIKIRI AU UNATEGEMEA ATAKUWA MUMEO,, NI VIZURI KUZINGATIABAADHI YA VIPENGELE HUSIKA VYA KULETEA HESHIMA YAKO KWENYE KIPINDI CHA MAHUSIANO
1 Usivaenguo za kuacha maungo yako wazi, usipende kutoka bila kumjulisha, unapotoka kwaruhusa yake au kwa kumpatia taarifa, hakikisha unaporudi unampa taarifa,usipende kufanya simu yako private sana, unapoongea na simu hakikisha baadhi yamaongezi yako ambayo sio delicate anayasikia, usipende kuwa mficha simu na kuwana vitu vya siri siri mpaka akakushtukia
2 Anapokutambulisha kwa marafiki zake, usionekane kuwafurahia sana walemarafiki zake , na wala usihitaji simu zao, akitaka kukupatia simu, mwambienitachukua kwa my (mchumba wako) Usipende kuwa na marafiki wa kike ambao niwale walioshindikana, au viruka njia, au wasiofaa hata kutambulisha.. Muonyesheunajali wazazi wako tangu mwanzo kabisa, kila kitu ukiongea usiache kuzungumziamzazi wako kwa njia moja au nyinginge
3 Unywaji wa pombe si jambo bora kwa msichana ambaye anategemea kuwa mamaBora, unashauriwa usipende sana kukaa bar au kunywa pombe , ni vizuri ukitolewaout na mpenzi wako akupeleke maeneo ambayo yana hadhi yako, na si mahali ambaokuna wingi watu, au mahali ambapo kila mwanamke anaingia,, ziko sehemu nzuriambazo zina ustarabu na si ghali sana, usipende mabaaa ya uchochoroni, hukondiko mnaopoibiwa waume zenu, kwani wanawake machangu wamejaa tele nahuwakodolea mimacho
4 Unapokuwa na mpenzio mahali popote, usipende kumsifia mwanaume mwingineyeyote kuwa ana gari zuri, kazi nzuri, au anavaa vizuri, hata kunukia vizuri,hii inamfanya mpenzio ajishushe hadhi, wakati wowote uwe tayari kumsifia yeyekama yeye, hii inamsaidia kumtia moyo na kuongeza juhudi kwenye kilaanachokifanya, Ni vizuri kumuonyesha kuwa kila kitu chake unakipenda, na kilaanachofanya amejitahidi, kama kuna kumkosoa au kumrekebisha basi kuna mahaliambapo au siku ambayo ni rasimi kumwambia kila unachofikiri kitamsaidia
5 Usiwe mstari wa mbele kumsapoti pale anapokuambia kuhusu udhaifu wa nduguzake, wazazi wako au boss wake, Tumia akili ya ziada kutoa mchango wako kwenyekila kitu atakachokushirikisha, ,, kumbuka yeye ni mume tu na kwenye mapenziyake yamejigawanya kwenye maeneo mengi, .. kazi, wazazi, ngudu, marafiki nk..hivyo usifikiri wewe peke yako ndiye unayehitaji upenzi wake..
6 husninyo swiitlady,afrodenzi lizzy ,firslady ,kongosho endeleeni
Ni muhimu kuonesha good impression.. Umenikumbusha rafiki yangu alikua anaenda kutambulishwa kwa wakwe ikabidi akanunue dera na khanga za kuvaa kwa wakwe.. I guess tumezoea kufanya mambo kuwapendeza wengine..
na ndo mana ndoa nyingi hadidumu siku hizi maana kila mtu anajiona ndio yeye katika nyumba, mahusiano yanahusisha kujikana katika mambo fulani funali ambayo unayapenda ila mwenzio hayapendi.. mkuu wewe unazungumza tu toka moyoni au?, je ki uhalisia mtu wako angekuwa anaishi na kufanya atakavyo ungejisikiaje?huo ndo mwanzo wa mapenzi ya kuigiza.
Be who you are, show who you are... kama wako wako tu hata ukafanya hayo yote hapo juu kama ndio tabia zako ulizozaliwa nazo au ulikokuzwa nazo.
Songíto;3496272 said:na ndo mana ndoa nyingi hadidumu siku hizi maana kila mtu anajiona ndio yeye katika nyumba, mahusiano yanahusisha kujikana katika mambo fulani funali ambayo unayapenda ila mwenzio hayapendi.. mkuu wewe unazungumza tu toka moyoni au?, je ki uhalisia mtu wako angekuwa anaishi na kufanya atakavyo ungejisikiaje?
To me it just depends on how you look at it. I don't see anything wrong, for example, for your friend to go buy something which in her opinion was perhaps more respectable to her in-laws than let's say a freak-um dress.
Malima?ndio tena mbunge
UNAPOKUWA NI MCHUMBA WA MTU, HASWAKWA YULE AMBAYE UNAFIKIRI AU UNATEGEMEA ATAKUWA MUMEO,, NI VIZURI KUZINGATIABAADHI YA VIPENGELE HUSIKA VYA KULETEA HESHIMA YAKO KWENYE KIPINDI CHA MAHUSIANO
1 Usivaenguo za kuacha maungo yako wazi, usipende kutoka bila kumjulisha, unapotoka kwaruhusa yake au kwa kumpatia taarifa, hakikisha unaporudi unampa taarifa,usipende kufanya simu yako private sana, unapoongea na simu hakikisha baadhi yamaongezi yako ambayo sio delicate anayasikia, usipende kuwa mficha simu na kuwana vitu vya siri siri mpaka akakushtukia
2 Anapokutambulisha kwa marafiki zake, usionekane kuwafurahia sana walemarafiki zake , na wala usihitaji simu zao, akitaka kukupatia simu, mwambienitachukua kwa my (mchumba wako) Usipende kuwa na marafiki wa kike ambao niwale walioshindikana, au viruka njia, au wasiofaa hata kutambulisha.. Muonyesheunajali wazazi wako tangu mwanzo kabisa, kila kitu ukiongea usiache kuzungumziamzazi wako kwa njia moja au nyinginge
3 Unywaji wa pombe si jambo bora kwa msichana ambaye anategemea kuwa mamaBora, unashauriwa usipende sana kukaa bar au kunywa pombe , ni vizuri ukitolewaout na mpenzi wako akupeleke maeneo ambayo yana hadhi yako, na si mahali ambaokuna wingi watu, au mahali ambapo kila mwanamke anaingia,, ziko sehemu nzuriambazo zina ustarabu na si ghali sana, usipende mabaaa ya uchochoroni, hukondiko mnaopoibiwa waume zenu, kwani wanawake machangu wamejaa tele nahuwakodolea mimacho
4 Unapokuwa na mpenzio mahali popote, usipende kumsifia mwanaume mwingineyeyote kuwa ana gari zuri, kazi nzuri, au anavaa vizuri, hata kunukia vizuri,hii inamfanya mpenzio ajishushe hadhi, wakati wowote uwe tayari kumsifia yeyekama yeye, hii inamsaidia kumtia moyo na kuongeza juhudi kwenye kilaanachokifanya, Ni vizuri kumuonyesha kuwa kila kitu chake unakipenda, na kilaanachofanya amejitahidi, kama kuna kumkosoa au kumrekebisha basi kuna mahaliambapo au siku ambayo ni rasimi kumwambia kila unachofikiri kitamsaidia
5 Usiwe mstari wa mbele kumsapoti pale anapokuambia kuhusu udhaifu wa nduguzake, wazazi wako au boss wake, Tumia akili ya ziada kutoa mchango wako kwenyekila kitu atakachokushirikisha, ,, kumbuka yeye ni mume tu na kwenye mapenziyake yamejigawanya kwenye maeneo mengi, .. kazi, wazazi, ngudu, marafiki nk..hivyo usifikiri wewe peke yako ndiye unayehitaji upenzi wake..
6 husninyo swiitlady,afrodenzi lizzy ,firslady ,kongosho endeleeni
UNAPOKUWA NI MCHUMBA WA MTU, HASWAKWA YULE AMBAYE UNAFIKIRI AU UNATEGEMEA ATAKUWA MUMEO,, NI VIZURI KUZINGATIABAADHI YA VIPENGELE HUSIKA VYA KULETEA HESHIMA YAKO KWENYE KIPINDI CHA MAHUSIANO
1 Usivaenguo za kuacha maungo yako wazi, usipende kutoka bila kumjulisha, unapotoka kwaruhusa yake au kwa kumpatia taarifa, hakikisha unaporudi unampa taarifa,usipende kufanya simu yako private sana, unapoongea na simu hakikisha baadhi yamaongezi yako ambayo sio delicate anayasikia, usipende kuwa mficha simu na kuwana vitu vya siri siri mpaka akakushtukia
2 Anapokutambulisha kwa marafiki zake, usionekane kuwafurahia sana walemarafiki zake , na wala usihitaji simu zao, akitaka kukupatia simu, mwambienitachukua kwa my (mchumba wako) Usipende kuwa na marafiki wa kike ambao niwale walioshindikana, au viruka njia, au wasiofaa hata kutambulisha.. Muonyesheunajali wazazi wako tangu mwanzo kabisa, kila kitu ukiongea usiache kuzungumziamzazi wako kwa njia moja au nyinginge
3 Unywaji wa pombe si jambo bora kwa msichana ambaye anategemea kuwa mamaBora, unashauriwa usipende sana kukaa bar au kunywa pombe , ni vizuri ukitolewaout na mpenzi wako akupeleke maeneo ambayo yana hadhi yako, na si mahali ambaokuna wingi watu, au mahali ambapo kila mwanamke anaingia,, ziko sehemu nzuriambazo zina ustarabu na si ghali sana, usipende mabaaa ya uchochoroni, hukondiko mnaopoibiwa waume zenu, kwani wanawake machangu wamejaa tele nahuwakodolea mimacho
4 Unapokuwa na mpenzio mahali popote, usipende kumsifia mwanaume mwingineyeyote kuwa ana gari zuri, kazi nzuri, au anavaa vizuri, hata kunukia vizuri,hii inamfanya mpenzio ajishushe hadhi, wakati wowote uwe tayari kumsifia yeyekama yeye, hii inamsaidia kumtia moyo na kuongeza juhudi kwenye kilaanachokifanya, Ni vizuri kumuonyesha kuwa kila kitu chake unakipenda, na kilaanachofanya amejitahidi, kama kuna kumkosoa au kumrekebisha basi kuna mahaliambapo au siku ambayo ni rasimi kumwambia kila unachofikiri kitamsaidia
5 Usiwe mstari wa mbele kumsapoti pale anapokuambia kuhusu udhaifu wa nduguzake, wazazi wako au boss wake, Tumia akili ya ziada kutoa mchango wako kwenyekila kitu atakachokushirikisha, ,, kumbuka yeye ni mume tu na kwenye mapenziyake yamejigawanya kwenye maeneo mengi, .. kazi, wazazi, ngudu, marafiki nk..hivyo usifikiri wewe peke yako ndiye unayehitaji upenzi wake..
6 husninyo swiitlady,afrodenzi lizzy ,firslady ,kongosho endeleeni
kwa wale waoaji hali halisi ndo hiyo kaaaaaz kweli kweliI am who I am and he is who he is. Siwezi kuacha kucheka, kuwachangamkia au kubasilishana namba za simu na marafiki zake. In fact, ni marafiki zangu pia. Simu yangu ni yangu na yake ni yake.
Ukija kwenye majukumu tulikubaliana from day one, kila mtu anajua jukumu, wajibu na mipaka yake. Tuko pamoja, tunapendana sana lakini kupendana kwetu hakutusahaulishi kwamba sisi ni watu wawili tofauti.
huo ndo mwanzo wa mapenzi ya kuigiza.
Be who you are, show who you are... kama wako wako tu hata ukafanya hayo yote hapo juu kama ndio tabia zako ulizozaliwa nazo au ulikokuzwa nazo.
You may be right.. But still, that draws a conclusion most of us ain't really what we're perceived to be!