mmh yan yoote io kutaka uolewe jaman! ndio kuigiza wee! huwezi kuigiza milele, kama ipo ipo tuu na kama haipo hata ukafanyaje. labda kama unabembeleza kuolewa sawa.......... sion haja ya kuigiza mm nitaolewa na atakayenipenda nilivyo ivii, im sure yupo huyo mtu! WHY U WANNA CHANGE ME?? I JUS WANT TO BE ME!