Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

ni kweli....unapofuka ila kuna mambo yatakufungua macho tu.....tulishapofuka sana ila kwa tabu tulizopata...tuliona na kusonga mbele macho wazi na masikio....

Pole sana ndugu ila mshukuru mungu kwa hilo kwa kuwa limekufumbua macho.
 
 
Malengo mbele dada yangu hapo huwa napawaza kila siku

so wewe ni wale mnaokuja na ahadi kemkem lakini hamumaanishi sio? ukipata hitaji unakula kona eeeh?i doubt this.....:A S 13:
 
Keyboard isikudanganye my dia, ni kama sharobaro tu

aiseee,nimependa huo mfano wa shalobaro....mutu inatapika cheni kubwaaa,pamba za kutoa nyoka pangoni...kumbe anakula na kulala kwa baba yake au hata godoro hana.....mujini shule jamani...l.o.l
 
Michele eve heard

all is fair in love and war??????????
 
 
so wewe ni wale mnaokuja na ahadi kemkem lakini hamumaanishi sio? ukipata hitaji unakula kona eeeh?i doubt this.....:A S 13:
Dada naona haujanielewa...nilikuwa namaaanisha mwanaume yoyote yule lazima uwe na malengo ya mbele ukiwa na mwenzio mtapanga na kuangalia mfanye nini kwa ajili ya maisha yenu ya baadae ikiwa ni pamoja na kukaribisha familia mpya pale mnapopata mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…