The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Kama mimi simuelewi kabisa maana bamsapu hizo za kunipa mafoto ya future na kunitambulisha kwa ndugu zake alikuwa ndio mwenyewe, lakini amekuwa mume mzuri tu, sasa sijui hiyo itakuwa inategemea na nini? Hivi Michelle mwanaume bila kukuwekea hayo mavikorombwezo unaweza kuhisi unapendwa kweli? Yaani hakutambulishi popote, haongelei future yenu, du! mi hayo mastori ndio nilikuwa nayapenda jamani.
Sorry wapendwa kwa kumjibia Michelle!!! Mi nimemwelewa hivi, sio tusiwasikilize wala wasiwe na malengo ya mbele hapana!! Ila tuwe waangalifu/makini..... Ni kweli kabisa kuna wanaume wanajua kabisa msichana huyu nikimuingia kwa gia ya kutaka tunda, kustarehe nk nk tu basi hatakubali, anakuja na gia ya kutaka kuoa, anaongelea ndoa, anakujengea picha ya maisha yenu, anakuteka in way kwamba akili yako inaona mnaishi kwenye ndoa kabisa....atakuita mke wangu, mama watoto wangu...ataanza kukuambia mtoto wetu ataitwa Paka Mweusi, yani basi tu ilimradi amefanikiwa kuiteka nafsi yako na akili yako. Mwisho wa yote anakuvuta anakufanyia alichokuwa anakitaka/kilenga anakubwaga hapo. Ule ushetani wake unaanza kuuona sasa hadi utajuta kupenda...wakati huo maisha yako yote umeyafungia kwake.....kwa hiyo hao watu wapo na wapo sana tuuuuuu!!!
Thank you once again Miss Judith....its very clear ni basi tu....Barikiwa zaidi...
Asante dada kwa kutoa elimu ya bure nadhani ujumbe umefika.
Sasa swali langu, je WANAWAKE WENYE TABIA ULIZOZITAJA, wakikutana na wanaume wenye tabia hizo hizo mambo yatakuwaje? maana wote watakuwa wajanja.
Siwezi mlaumu mtu kwa kuwa nami yamenikuta....ndo maana nikasema experience is the best teacher....i have learnt my lessons and i ought to share my lessons.....
umeadimika Boss.....
Thank you once again Miss Judith....its very clear ni basi tu....Barikiwa zaidi...
asante dearest.....u wapi leo? tusaidie type nyingine ya wanaume basi tuwajue....ha aha haaaaaa....l.o.l