Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

Ookeey!
 
You always have points. Swala ni je watakuelewa wenzako?

watanielewa tu manake naamini nao wamekutana nayo haya niliyokutana nayo.....wasipoelewa basi tena,sina la kufanya ila niwe nimesema tu!!!
 
halafu msisahau love comes when u are not looking for it.....
 
Pamoja na makorobwezo na mavipodozi yote hayo, anasisitiza mjuane vizuri maana wapo wanaoweza wakatumia same style lakin hawana nia ya kwli

Aaah!!
 
Sawa Michelle!
 
halafu msisahau love comes when u are not looking for it.....

ha ha ha ha ha......kweli?can i really stop looking for something i do not have and which i need.....??
 
ha ha ha ha ha......kweli?can i really stop looking for something i do not have and which i need.....??

waulize wenzio.
wengi hupata love wakiwa wamesha give up kabisa...
 
Kweli Boss sometimes it happens

mi nahisi huwa tunapumzika au kujipa muda but sidhani kuwa tunaacha kutafuta love....ok,let me stop looking for it maybe atakuja....l.o.l:hand:
 
mi nahisi huwa tunapumzika au kujipa muda but sidhani kuwa tunaacha kutafuta love....ok,let me stop looking for it maybe atakuja....l.o.l:hand:
Aisee mimi nimecheka kweli haya mambo banaa hayana formula unaweza kusubiri weee mpaka ukachina kama samaki l.o.l, by the way i am done with that issue all went well
 
waulize wenzio.
wengi hupata love wakiwa wamesha give up kabisa...

kuna tofauti ya ku-give up na ku stop looking for love? giving up means you have lost hope but you will appreciate if it happens you get what you were looking for......not looking means you are not at all interested in love....
 
Aisee mimi nimecheka kweli haya mambo banaa hayana formula unaweza kusubiri weee mpaka ukachina kama samaki l.o.l, by the way i am done with that issue all went well

umeona eeeh.....hakuna formula...mi nahisi when i have love is when more love come to me....l.o.l

am glad it went well.....bravoo!
 
kuna tofauti ya ku-give up na ku stop looking for love? giving up means you have lost hope but you will appreciate if it happens you get what you were looking for......not looking means you are not at all interested in love....

exactly ..
walipata love walipokuwa hawana interest kabisa....very true and possible...
 
exactly ..
walipata love walipokuwa hawana interest kabisa....very true and possible...

I agree with you now....i think this applies to other things as well....mimi when i have lost hope,lets say looking for a job its when i get a job...
 
Michelle katika hii mada wanaume unawahukumu bure tukinamama mnachotakiwa mkifahamu na ikibidi mkikubali ni kwamba at that particular moment mwanamme anapokuwa anatoa ahadi za ndoa/kuzaa/likizo kila mwaka/kujenga nyumba etc huwa mara nyingi anamaanisha hivyo kweli.Sincerely speaking mara nyingi at that time anapokutamkia anataka kukuoa kweli huwa anataka kukuoa(at that particular time). Tatizo ni kwamba katika maisha ya mwanadamu huwa hakuna condition ambayo ni constant na ndo maana hisia ya mapenzi unayoweza kuwa nayo leo wewe kwangu kesho inaweza kubadilika (emotions are fluidy). My point is wanaume (walio wengi) huwa hawatoi ahadi wakijua purposely kuwa ni ya uongo ili wapewe uroda, la hasha, on the contrary conditions ndo huwa zina change na kusababisha uone 'ala kumbe alikuwa ananilaghai'. Yanayoweza kusababisha baadhi ya mabadiliko haya wanaume tunayajua wenyewe!
 
Nashukuru kwa maoni yako mazuri.....kwahiyo unaonaje muwe mnaziangalia kwanza hizo conditions kabla ya kuomba kufanya mapenzi au kutoa ahadi???? ingesaidia sana kama unachosema ni ukweli.....wanaume muwe mnachukua muda kuwafahamu wanawake kabla ya kuahidi na kuwa na uhusiano wa kiamapenzi ili kuepusha kuumiza watu pale the so called CONDITIONS zinapokuwa hazipo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…