Kwa wadau wa elimu

Kwa wadau wa elimu

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
5,958
Reaction score
2,954
Habari wadau.
Utaratibu gani hutumika kukata RUFAA NECTA? Kwan kuna mtoto wa jiran yangu ameniomba msaada juu ya hilo.
Naomba kueleweshwa ili nami nimsaidie dogo
Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom