NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 Feb 19, 2013 #1 Habari wadau. Utaratibu gani hutumika kukata RUFAA NECTA? Kwan kuna mtoto wa jiran yangu ameniomba msaada juu ya hilo. Naomba kueleweshwa ili nami nimsaidie dogo Natanguliza shukran
Habari wadau. Utaratibu gani hutumika kukata RUFAA NECTA? Kwan kuna mtoto wa jiran yangu ameniomba msaada juu ya hilo. Naomba kueleweshwa ili nami nimsaidie dogo Natanguliza shukran