Kwa wadau wa IT

Baba Erick

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
483
Reaction score
75
Hello wana JF! Ndugu zangu nina Bachelor in IT(BSCS) na natafuta wadau wa IT wanaotaka kuongeza knowledge kwenye JAVA, C, C ++, C#, PL, AJAX, PHP, MySQL, HTML,XML, LINUX, CSS, JAVA SCRIPT na WEB designing kama tuition kwani nilikuwa nafundisha wanafunzi wa Open University ila mkataba umeisha . Contact gymeric@gmail.com.
 
Duh we noma zote hizo zipo kichwani mimi nisaidie AJAX tu inatosha.
 
Ahsante, tunahitaji wafanyakazi, km una contacts za wanafunzi wako waliofuzu, tafadhali nipatie.
 

Kweli Language zote unazijua vizuri au ndimu?
 
Kweli Language zote unazijua vizuri au ndimu?
Anazijua kwa majina. Ndio maana bongo hatuendelei kwa kujifanya multpurpose. Huyu n mwz. Java, c, c#, c++, uchanganye na scripting language. Wiz mtupu.
 

Kamanda unatisha! Hiyo PL ni nini? Labda nitakuja kwa tuiti yake.
 
ila we noma aah! kweli language zote hizo zikawe kichwani? kaka mie nimesoma It pia lakini kiukweli unaweza kujua scrpiting language nying ila si programminig language kama ulivotaja. Nafikiri hata ukaaply kazi kwenye IT industry unaweza ukawa discorified
 
wadu wanauliza vipi garama zako wanahitaji utoe mchanganuo wako kuna mtu yuko serious anataka apigwe msasa maeneo uliyoyataja. 0714 794842
 
Anazijua kwa majina. Ndio maana bongo hatuendelei kwa kujifanya multpurpose. Huyu n mwz. Java, c, c#, c++, uchanganye na scripting language. Wiz mtupu.

yaani we Mzee. Inaonyesha ni mtu wa ajabu sana mimi ni programmer/system analyst. Kwa akili zako unadhani uprogrammer ni kujua Java tuu.? Unadhani system wanatengeneza na java tuu e? Na interface yake utatumia java pia na siyo Scripting language kama unataka iwe web based. Amka na ubadilike acha kulala.
 

kweli uyasemayo ndugu vipi wakati wanafundisha uliendelea kuwa na partial concepts siyo. Jamani watanzania tuwe tunapenda kujisomea.!
 
Lah, jaman huyu mtu anakichwa au hiyo ni server?

mhuuh! Ndugu yangu vijana wengi wa kibongo mnaogopa sana programming ipende na ukishaijua ni rahisi kuifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…