Kwa wadau wa madani...

Kama kichwa cha habari hapo juu.

Naomba kujuzwa aina ya madini haya maana kuna Mtu kanitumia na mimi sijayatambua kwahiyo naomba mnisaidie nanyi wakuu?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh uko sawa mkuu ila ukiona MTU anaposti kwa njia ya simu basi ujue yupo mbali kijijini kwahyo lengo la kuposti humu nikama kutafuta ushauri na sio kuwasumbua nyinyi so please??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha! Wee jamaa ulivyotamka tu huko mbali kijijini nimekusoma kuwa wewe ndo unataka kupiga watu kwa biashara hiyo ya madini feki! Tafuta njia halali ya kujipatia kipato! Acha utapeli utachomwa moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…