Kwa Wadau wa Mnuso, je? Umeshatangaza Nia!?

Kwa Wadau wa Mnuso, je? Umeshatangaza Nia!?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Khabari za Saa hizi!

Wadau kama mnavyojua kesho Mambo flani hivi ya Maakuli mambo ya kupika pika vitu Vitamu vitamu 😁

Sasa kwangu mi hali nasukumizia na ntakalokutanalo kesho Sijui wadau wenzangu na mie kesho wapi? Tukutane Wapi,au kunialika Mjumbe yoyote nije kwake ama kwao🤪 au nimekosea ndugu zangu,

Msiwe hivyo jamaa doooh ata soda tu mtatuma humu itadownloadika tu tunywe🤣😂 Niwatakie Sikukuu Njema!?
 
Back
Top Bottom