KWA WADAU wa morogoro msaada!!!!

Joined
Jun 6, 2015
Posts
9
Reaction score
3
Natarajia kuja morogoro NAHTAJI lodge bei kuanzia elfu 10-15 lakin iwe karbu na stand ya msamvu asanten
 
20 ndo unapata, lodge Saafi kabisa, 10 ni ajili ya showtime
 
Hiyo bei mkuu ni ndogo sana, utapata za hovyo sana. Zipo Jirani nyingi sana ila nzuri zinaanzia 20.
 
Lodge hapo karibu na stand kwenye highway ya kwenda Iringa upande wa kulia.
 
Zipo nyingi sana haina haja ya kukusaidia.
 
We Mangi acha ubahiri... Hapa town hakuna Lodge za bei ya madafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…