kaka hapo labda uzumgumzie kuwa wanafunzi hawana taarifa ya kutosha na SPP. suala la wewe kujiona unaweza kufanya mtihani halina uhusiano na wewe kuwa na sifa za kufanya mtihani. mtahiniwa unaweza kuwa na sifa za kufanya mtihani,ukafanya na ukafeli, pia mtahiniwa unaweza ukawa hunasifa za kufanya mtihani wakati unao uwezo wa kufaulu.lecturer incharge akiona hujatimiza sifa za kufanya mtihani lazima akuzuie ndugu, haijalishi ni kupanga au la. kwa mfano. kama sheria inasema mwanafunzi lazima utengeneze riport tano mwalimu azione kabla ya mtihani, ukatengeneza nne, , labda moja hujafanya kwasababu uliugua au kwa matatizo mengine tu,lecturer incharge anaweza asitoe VISA ya wewe kwenda kwenye university exam, hilo laweza tokea wakati wewe umejiandaa vizuri tu na unauhakika utafaulu- hayo ndo mambo ya viwango kaka.