Kwa wadau wa SUA mliokwisha ripoti chuoni

Kwa wadau wa SUA mliokwisha ripoti chuoni

Akwisombe

Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
23
Reaction score
3
Msaada tafadhali kwa wale wa SUA ambao tayari mmekwisharipoti chuoni, tafadhali naomba mtufahamishe sisi ambao tutachelewa suala zima la usajili hapo chuoni likoje..
 
Process ni za kawaida tu,kama maelekezo yanavyosema. usisahau kuja na result slip yako ya Form 6,michango na mambo mengine ni kama yalivyoanishwa kwenye Join instruction form inapatikana kupitia website ya chuo Sokoine University of Agriculture alafu wewe kwa kua ni First year usichelewe sana utapata shida juu ya suala la Accomodation.
 
Ngoja nikurahisishie,Registration form,Admission letter,Medical examination forms zote hizo zinapatikana kwenye website ya chuo nimeshaitaja apo Juu, Ukishajaza izo form ambatanisha Kwa Pamoja ni Hivi:Original copy of Bank Payslip,Secondary and Advanced level certificates(kwa Advance kama umemaliza mwaka huu unakuja na result slip),Kama wewe ni Certificate/ Diploma Holder unakuja na Copy ya Cheti chako.Vilevile unatakiwa kuja na Passport size Photo 2.
 
Hakikisha una admission letter ambayo utai downlod kwenye profile yako ya chuo pword kaangalie kwny email yako na vyet vyako vyote kop 2,na ushauri wangu km upo mkoan lpa kabisa michango yote kwan benk za huku znajaa sana pia km una bima ya afya kwenye medcal fee lipa 20 badala ya 60,ila mambo mengne yako fasta sana.
 
Bank za huku zinajaa sana? unamanisha Morogoro yote au? sio kweli kama ukisema kwa SUA Chuoni naweza kukukubalia ila ukienda CRDB Town mbona kuna Branch Pia na huduma zipo faster tu? afu iyo Medical fee ya 20 ikoje ndugu ebu fafanua kidogo.
 
Kifupi nimeshauri tu km inawezekana ni bora ukalipia huko huko benk ni kwel morogoro zipo na kuhusu medcal fee kama una kitambulisho cha bima ya afya lipia 20000 badala ya 60000.
 
Kifupi nimeshauri tu km inawezekana ni bora ukalipia huko huko benk ni kwel morogoro zipo na kuhusu medcal fee kama una kitambulisho cha bima ya afya lipia 20000 badala ya 60000.

Nimeshangaa sana..
Hiyo elfu sitini, inaonekana kama elfu 6, lakini ukiquote unaona elfu 60...
 
Kifupi nimeshauri tu km inawezekana ni bora ukalipia huko huko benk ni kwel morogoro zipo na kuhusu medcal fee kama una kitambulisho cha bima ya afya lipia 20000 badala ya 60000.

Mmmmmh,kama unakitambulisho cha bima unalipa 20,000/= sio kwamba kama unakitambulisho cha bima haulipi kabisa? au utaratibu ume change,ngoja tafatilia nijithibitishe mwenyewe.
 
Ni kweli kwa wenye bima wanalipa elfu 20 ambayo haijaandikwa popote na haina risiti. Bila kutoa hujasajiriwa. Umeona mkono wa sweta
 
Vp kuhusu hostel tunaweza kupata hosteli za ndani?
Dadavua kwani wewe ni first year au Continuing student?
kama ni first year utapata ila jitahidi uwahi. kwa continuing kazi ipo.
 
Medical fee huwa ni 100000 ila kuna wale wanaokatiwa bima hapo chuo nadhani wanalipa 54 na kama una kadi yako ni copy tuu unapeleka ofic za bima wana kugongea mhuri
 
Mm first year ila km nkifika ijumaa naweza kuzipata maana kuna mambo hayajakaa vzuri
 
Kifupi nimeshauri tu km inawezekana ni bora ukalipia huko huko benk ni kwel morogoro zipo na kuhusu medcal fee kama una kitambulisho cha bima ya afya lipia 20000 badala ya 60000.

Mbona bima ya afya wanasema ni laki 1 na wewe unasema elfu 60 tu? Hii imekaaje?
 
Mbona bima ya afya wanasema ni laki 1 na wewe unasema elfu 60 tu? Hii imekaaje?
Jitahidi uwe umesha downlod admission letter utaiona hiyo elfu 60.
 
Mbona bima ya afya wanasema ni laki 1 na wewe unasema elfu 60 tu? Hii imekaaje?
Jitahidi uwe umesha downlod admission letter utaiona hiyo elfu 60.

medical fee ni sh 60000 bt wanadai ukiwa na bma ulipe 20000.
 
Back
Top Bottom