Bank za huku zinajaa sana? unamanisha Morogoro yote au? sio kweli kama ukisema kwa SUA Chuoni naweza kukukubalia ila ukienda CRDB Town mbona kuna Branch Pia na huduma zipo faster tu? afu iyo Medical fee ya 20 ikoje ndugu ebu fafanua kidogo.Hakikisha una admission letter ambayo utai downlod kwenye profile yako ya chuo pword kaangalie kwny email yako na vyet vyako vyote kop 2,na ushauri wangu km upo mkoan lpa kabisa michango yote kwan benk za huku znajaa sana pia km una bima ya afya kwenye medcal fee lipa 20 badala ya 60,ila mambo mengne yako fasta sana.
Kifupi nimeshauri tu km inawezekana ni bora ukalipia huko huko benk ni kwel morogoro zipo na kuhusu medcal fee kama una kitambulisho cha bima ya afya lipia 20000 badala ya 60000.
Kifupi nimeshauri tu km inawezekana ni bora ukalipia huko huko benk ni kwel morogoro zipo na kuhusu medcal fee kama una kitambulisho cha bima ya afya lipia 20000 badala ya 60000.
Ni kweli kwa wenye bima wanalipa elfu 20 ambayo haijaandikwa popote na haina risiti. Bila kutoa hujasajiriwa. Umeona mkono wa sweta
Dadavua kwani wewe ni first year au Continuing student?Vp kuhusu hostel tunaweza kupata hosteli za ndani?
Jaribu kuulizia wakati wa registration utaambiwa, au tafuta wenyeji hapo watakuelekeza tu.sasa mbona medical fees ni 100'000 utalipaje 60'000 huku haijaandikwa? ufafanuzi zaidi apo
Kifupi nimeshauri tu km inawezekana ni bora ukalipia huko huko benk ni kwel morogoro zipo na kuhusu medcal fee kama una kitambulisho cha bima ya afya lipia 20000 badala ya 60000.
Mbona bima ya afya wanasema ni laki 1 na wewe unasema elfu 60 tu? Hii imekaaje?
Jitahidi uwe umesha downlod admission letter utaiona hiyo elfu 60.