Hili ni swali wadau ambalo rafiki yake wa karibu kaniomba niliwakilishe kwa wanajamiiforum ili apate kujuzwa zaidi
"katika uchanganuzi wa sentensi za kiswahili, sentensi zilizooeleka zaidi na ambazo hutumika ni sahili, changamano na ambatano. Kwanini huwa hakuna uchanganuzi wa sentensi shurutia katika kiswahili"
Sentensi shurutia ni aina ya sentensi kwa mtazamo wa kidhima, na sentensi sahili, changamano na ambatano hizi ni sentensi zilizoainishwa kwa mtazamo wa kimuundo. Na kwa hiyo unapokuja katika uchanganuzi wa sentensi utaishia kuchanganua hizo tatu kwani wana muundo wao hawaitambui sentensi shurutia kama aina moja wapo ya sentensi.Hili ni swali wadau ambalo rafiki yake wa karibu kaniomba niliwakilishe kwa wanajamiiforum ili apate kujuzwa zaidi
"katika uchanganuzi wa sentensi za kiswahili, sentensi zilizooeleka zaidi na ambazo hutumika ni sahili, changamano na ambatano. Kwanini huwa hakuna uchanganuzi wa sentensi shurutia katika kiswahili"