shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,068
- 3,507
Kama wewe sio mdangaji na haujaolewa!
1. Ukiona mtu Yuko kwenye ndoa halafu anakupigia kelele unaolewa lini kila siku, jua ndoa Yake ina shida anapitia mazito kwenye hiyo ndoa, anakuonea wivu jinsi unavyo enjoy maisha yako ya ubachela anatamani na wewe uingie mkenge uteseke kama yeye!
Akili kumkichwa, kumbuka mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa! Mwenye ndoa Tamu hana muda wa kuhangaika na wewe atakupa ushauri mara moja anaendelea na mambo Yake!
2. Ukiona single mama anakwambia bora ubebe Mimba hata ya mume wa mtu ujizalie kitoto chako umri unakwenda!my friend kimbia usigeuke nyuma! Kulea mtoto peke yako sio kazi rahisi kiasi hicho!
TUnaishi mara moja rafiki zangu take a time to enjoy yourself, furahia kila hatua ya maisha yako, ndoa itakayokupa Raha ni pale utakapokutana na soulmate wako, sasa wewe jichanganye Kwa anayepumua sababu ya maneno ya watu!!!
Alamsiki!!
Furahieni maisha kweli kweli msijipe upweke WA kijinga nawapenda!!!