Kwa waendesha magari

bigjeff

Senior Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
111
Reaction score
22
Wakubwa unapoenda kubadilisha matairi kwenye tyre shops kuna vitu gani ambavyo ungependa upate, from tyre shop, na pia service gani ungetamani iwepo au mazingira ya tyre shop ya we vipi ningefurahi pia ushaur ikwenye sector hii maana jm tyre(autocentre) is coming soon .thanks guys.
 
Tyre center huwa pamoja na general vehicle service i.e kubadili oil,air cleaner service,brake system and wheel alignment ,pia pembeni weka saloon karibu or even massage pa-lour, weka madem wacheshi- warembo and ofkoz LAZIMA uweke Professional mechanic with excellent customer care.
 

Hizo bold ni zingatio muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…