Kwa wale wafanyabiashara wa tanzania ambao wanafanya manunuzi ya bidha zao kutoka africa kusini epukeni kupoteza hela wakati unapobadilisha shilingi za kitanzania kwenda dolla alafu dolla kwenda kwenye rands.
Offici ya senditdirect ilioko pritoria inaweza kukununulia bidha zako huko kwa rands kwa supplier wako wa kila siku na pindi supplier wako huyo atakapo kuhakikishia kua mzigo wako umelipiwa ndipo utakapo mpa wakala wa hapa tanzania shilingi za kitanzania,huku wote mkitumia rate ya dollar.
Hio itaepusha hasara za kubadilisha pesa,tiketi za ndege, na malazi.kwa mawasiliano zaidi wasiliana na SALLY KAJALA 0756322477.