Kwa wafanyabiashara wa dhahabu wazoefu naomba ufafanuzi hapa

Kwa wafanyabiashara wa dhahabu wazoefu naomba ufafanuzi hapa

Joined
Jan 26, 2019
Posts
87
Reaction score
113
Habari za wakati huu wanajulkwaa.

Dhumuni kuu la kushusha uzi huu ni kupata muongozo juu ya biashara ya dhahabu naona ipo juu sana kwa bei kulingana na asilimia(%).

Kwa hapa Buzwagi ndogo Igunga hali so poa kidogo vp huko ulipo uhali gani upepo wa mgodi na je kwa wale wazoefu au wakongwe wa biashara hizi za dhahabu bei inaweza kushuka mwezi wa ramadhani ama vipi.
 

Attachments

  • WA-IMG-20240313-5eef47ee.jpg
    WA-IMG-20240313-5eef47ee.jpg
    49.7 KB · Views: 19
hio picha ume unganisha ni laptop au ni kitu kinahusiana na uchimbaji dhahabu?
 
Back
Top Bottom