enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya viungo, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo:
1) Bei ya kilo moja kwa kila kiungo huko mashambani.
2) Bei kwa kilo moja mpaka inafika Dar es salaam.
3) Ubora wa kila kiungo.
Viungo ambavyo navihitaji kupata taarifa zake ni :
a) Iliki
b) Mdalasini
c) Karafuu
d) Bizari
e) Pilipili Manga
f) Tangawizi
Ahsanteni sana.