new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 35
- 97
Mambo vp wadau?. Hivi kama umeenda TRA kufanya makadirio na waka sema utumie mashine ya EFD wakati hata uwezo WA kununua hyo mashine huna inatikiwa ufanyaje wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onyesha kumbukumbu zako za biashara (mauzo na manunuzi) kuonyesha kwamba hujafikia threshold.Mambo vp wadau?. Hivi kama umeenda TRA kufanya makadirio na waka sema utumie mashine ya EFD wakati hata uwezo WA kununua hyo mashine huna inatikiwa ufanyaje wakuu
Siku hizi kuna smart EFD, unawekewa kwenye simu, Gharama za kuugwa 30,000, kwa mwaka unalipia 60,000 na printer zimejaa kibao Aliexpress hadi 40,000.Mambo vp wadau?. Hivi kama umeenda TRA kufanya makadirio na waka sema utumie mashine ya EFD wakati hata uwezo WA kununua hyo mashine huna inatikiwa ufanyaje wakuu
100%Ila hii nchi mfumo wetu wa Kodi imekaa ovyo sana, TRA inahitaji reformation ya hali ya juu mno.
Na bahati mbaya sana wakufanya reformation hiyo hayupo.
SureIla hii nchi mfumo wetu wa Kodi imekaa ovyo sana, TRA inahitaji reformation ya hali ya juu mno.
Na bahati mbaya sana wakufanya reformation hiyo hayupo.
WamesemaKama huna waambie sina uwezo tena kwa barua rasmi yenye dole gumba lako.
Tatizo ni kudanganya kuwa huna uwezo wakati unao.
Wamenikadiria lakini wamesema natakiwa kununua na mashine ya efdWanataka uwahonge kiasi wakukadirie
Wameniambia niandike barua ya kuomba kuongeza muda WA kununua,Kama huna waambie sina uwezo tena kwa barua rasmi yenye dole gumba lako.
Tatizo ni kudanganya kuwa huna uwezo wakati unao.
Fanya hivyo mkuuWameniambia niandike barua ya kuomba kuongeza muda WA kununua,