Kwa wafugaji na wadau wa ufugaji wa kuku wa kienyeji Dodoma

Kwa wafugaji na wadau wa ufugaji wa kuku wa kienyeji Dodoma

till hustling

Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
36
Reaction score
12
mi ni kjana mjasiliamali mfugaji wa kuku wa kienyeji naomba kujuzwa kuhusu sehemu ambapo naweza kupata machine za kutoleshea kuku (incubators) na vifaranga wa kuku aina ya kochi asanteni wana jamvi.
 
zipo nyingi Dar es salaam, unataka ya mayai kiasi gani?
 
Kama upo Dar, tembelea K'koo sokoni juu, kuna duka huwa wana uza mashine ndogo za mayai 60 mpaka 120 pia Fatmers' Choice Ilala kuna wakati walikuwa wanauza machine ndogo zote hizo ni za umeme , kuna jamaa anatengeza kila size pale maili moja Kibaha. Ila ukitaka ya mayai 200 inayo tumia mafuta ya taa mimi ninauza sh. 350,000/- ipo mlandizi Kibaha...
 
Back
Top Bottom