Kama upo Dar, tembelea K'koo sokoni juu, kuna duka huwa wana uza mashine ndogo za mayai 60 mpaka 120 pia Fatmers' Choice Ilala kuna wakati walikuwa wanauza machine ndogo zote hizo ni za umeme , kuna jamaa anatengeza kila size pale maili moja Kibaha. Ila ukitaka ya mayai 200 inayo tumia mafuta ya taa mimi ninauza sh. 350,000/- ipo mlandizi Kibaha...