Naamini mko salama wakuu,
Mimi pia ni mfugaji mpya. Nimeanza na jogoo mmoja mkubwa sana, nilimnunua kama kitoweo ghafla nikaghairi tokana na ubora wa jogoo huyo, lengo la uzi huu sasa ni kuwaomba ndugu wafugaji kuniuzia mitetea kumi ya adabu ili niendelee kujikwamua.
Niko dodoma na ninaheshimu sana mbegu za kuku wa ukanda wa singida hadi igunga. Ama kwa yeyote mwenye mbegu nzuri (kubwa) ya kuku wa kienyeji aniambie alipo na bei yake tufanye biashara. Piga simu namba, 0687921498.
Ahsanteni kwa ushirikiano.