pope john
Member
- May 27, 2019
- 47
- 100
Habari wanabodi, poleni kwa majukumu.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kufahamu kilichosibu soko la mayai ya kisasa. Kwa wale wafugaji wa kuku wa mayai watakuwa na kumbukumbu ya miaka yote ya nyuma ya kuwa bei ya mayai trei moja haikuwahi kushuka chini ya 5000.
Lakini hali ilivyo kwa sasa ni kwamba trei moja ya mayai inauzwa 4,000 za kitanzania huku chakula kikiwa kimependa hadi 45,000 kutoka 40, 000 - 41,000. Nilitegemea kwamba mayai yangepanda lakin hali imekuwa tofauti.
Enyi wazoefu hebu tuambieni nini tatizo la kushuka kwa soko kiasi hicho. Je, ni watumiaji wamepungua au ni wafugaji wameongezeka?