Wafugaji wengi wa kuku wa nyama wanapata changamoto sana juu ya upatikanaji wa vifaranga kwa wakati na chakula bora.Mimi nipo katika hii field ya usambazaji wa chakula bora cha Nassad na usambazaji wa vifaranga vya Central chick kwa ajili ya kuku wa nyama nawakaribisha zaidi