Nilifikiri ukimjua jina hata awe mkali vipi ukimuita anapoa nilitaka kuanza kuorodhesha majina ya mbwa wa eneo fulani kwani nashindwa kupita hapo wakati wa usiku. Dah! ingekuwa poa Ukipita ni Bobi bobiiii..... Jeck....jeck..., simba... Halafu mbwa wengine wana majina kama ya binadamu..... Juma, Hamisi, John, Mage, paulo..... Ingekuwa poa sana pale ningepita bila wasiwasi hata saa nane za usiku!