man of sun
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 329
- 460
Unapatikana wapiKaribu kwenye ufugaji mkuu .......zingatia kutumia nguvu kubwa wakat nguruwe bado wadogo utatumia muda mfupi sana
Mmi huwa natumia miez 4 na napga pesa
Mkuu, umefanikiwa kumpata mfugaji anaefuga sasa na kukupa mwongozo wa ufugaji? kama umefanikiwa nijulishe na mimi, maana ninauhitaji kama wako.Me ni mkazi wa morogoro mjini ningeomba mfugaji yeyote anaye fuga nguruwe hapa Morogoro mjini aje dm anipatie namba pia Kuna baadhi ya vitu nataka nifahamu kuhusu nguruweee kwakua Nina mtaji kwaiyo nataka nifahamu jinsi ya ufugaji pia ili nianze kufuga mara moja ndani ya mwezi huu please Niko serious naomba mfugaji ujitokeze maana unaweza faidika pia. Thanks