Kwa Wahenga: Ukiishi Vizuri na Kuwa na Tija Haya Yaweza Kuwa Yako.......

Kwa Wahenga: Ukiishi Vizuri na Kuwa na Tija Haya Yaweza Kuwa Yako.......

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,332
Felix Wazekwa amtungia Papa Simaro Lutumba ngoma hii. Lutumba 80 kazawadiwa mtaa Kinshasa (Avenue Lutumba Simaro) na Kabila na Kuchongewa sanamu kama ilivyo kwenye hiyo video. Kizuri zaidi mwenyewe yu Hai.

 
Serikali yetu iige mfano huu, wampe mtaa Kingwendu wakati yupo hai, wasisubiri mpaka afe ndio wajifanye kumtengenezea sanamu
 
Back
Top Bottom