Mkuu very well, Vipi ni kampuni au, Mkuu kuna Tatizo kubwa sana kwa Watanzania kwa wakati huu ila ipo siku inakuja, Ni watanzania wachache sana kati ya wafanya biashara wengi sana nchi hii wanao weza enda kutafuta ushauri wa jinsi ya kuboresha biashara zao,
Mimi niliwahi kufanya hii kazi Arusha, na kuna Mzee mmoja ni jok naye kuhusu kumshauri jinsi ya kuimarisha Restarunrant yake alicho ni jibu ni kwamba anapata wateja wa kutosha na anapata pesa za kutosha hivyo hahitaji ushauri,
Ni kweli kwa Wafanya biashara wengi wanaamini ushauri ni kwa wale walio kwama tu, tena nao wakikwama huenda kuwauliza ndugu zao au marafiki zao,
Ila kampuni kubwa kama TBL pamoja na kuwa kiongozi wa kulipa Kodi Tanzania na kutengeneza profiti kubwa still wana washauri wao wakuwashauri maswala mbali mbali yanayo husu Masoko, uzalishaji, na kazalika
WABONGO NA WANATAKA HIZI HUDUMA WAPATE FREE KABISA, WAKATI KUMUONA DR MWENYEWE NI PESA, so kwa Tanzania consultance bado ni Tatizo sana kwa sababu ya uelewa, mtu anaweza kukubipu halafu umpigie na kumshauri kana kwamba hii huduma ni ya serikali,
Ila ni PM nikueleze mbinu mbadala za kuweza kufanya