Kwa wajuaji wa Kiswahili

du....hiki kiswahili hiki...
 
Siyo ndege ni nyuni...

Acha mawazo mgando...kiswahili kinajitosheleza...

Tafakari...
 
Kidumu chama cha mapinduzi!
 
Huyo si ndege mnyama bali ni ndege ya abiria.

Si nyuni bali ni ndege...

Ndege kwa maana ya kiumbe hai chenye mabawa na kirukacho kwa pia huitwa NYUNI.

Chombo kilichotengenezwa na binadamu kuruka juu kwa usafiri huitwa NDEGE
 
Mantiki ya hiyo sentensi ni nini?
Kwamba kuna kuchanganya 'aeroplane' na 'bird'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…