Mtaule mgunda
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 193
- 61
Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B.
Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza pata? Na utaratibu upoje?