Kwa wajuzi: Je, truck za Kamua na Nyumbani za TMK zilikuwa diss track Kwa Wana East coast

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kulikuwa na bifu lililotikisa miaka ya mwanzoni ya 2000 kati ya TMK na east coast, kipindi hiko watoto wengi wa 2000 ndo walikuwa wakitungwa so hawajui lolote.

Gk kupitia truck yake kali ya hii Leo alitoa diss nyingi huku, akidai pesa wanayo, wanavaa vizuri, hapa hipo, wanaendesha magari makali, wanakaa ushuani na kwamba wao ni wa kishua wa upanga hivyo masikini wa TMK uswahilini njaa kali ndio mwisho wao Kuwasilisha. Truck hii ilichochea bifu na ilikuwa hit truck

Sasa katika kusikiliza truck mbili kutoka TMK yaani Kamua, na nyumbani ni nyumbani ilionekana kama wanatupa madongo east coast kuwa wale watoto sio wa upanga ni wanaigiza tu kuwa wa upanga ilihali wao wanatoka familia duni, na kwamba ni mabitoz wa kujishow off, na kuwa TMK wao ni mahastle kitambo. Hivyo watoto wa east coast ni walaini.

Sasa naomba kuuliza je truck hizi tatu nilizozitaja Zina uhusiano ya mojakwa moja ya kuwa ni majibizano au ni stori za mtaani tu. Kwakuwa tunajua juma nature na AY ni mabest kitambo
 
Ni track mkuu, sio truck.
 
Kwenye Kamua kuna sehem KR anasema "haya sasa vipi tena Upanga east Upanga coast"
Oya hizo ngoma zote ni diss track
 
Anasema ukitaka tende chukua lakini pa...m....kund..u panua, tunakamua Kwa uwezo micheze michezengo
 
Back
Top Bottom