Habari Wakuu,
Huu uzi nilitaka niupost kule kwenye jukwaa la teknolojia lakini post nyingi ninazopost kule response inakuwa ndogo.
Nadhani hapa ndio kuna audience kubwa. Natumia digital wallet ya Metamask lakini Nina token ambayo inaonyesha value ya approximately $12 lakini kwenye etherscan inasoma $0!
Sielewi shida ni nini.