kwa wakaka wa kitanzania tu

shukuru mungu ulianza na nyumba mkuu ungeanza na gari kiwanja tu ungekuwa unakisikilizia kwenye magazeti
 
hudaiwi na bayport wewe?

Sidaiwi na hao uliowataja. Na wala sina mkopo wa Magari. Gari nimenunua la kawaida kwa uwezo wangu. Mikopo ninayo lakini sio kama mtu binafsi, bali ni ya kibiashara
 
= Scraper umeshatumika vya kutosha unategemea utaishi na nani? tunashauliwa kujiahadhali na used goods.
mkuu heshima ni kitu cha bure
mi sio type hiyo unayodhani
sitafuti chochote humu
nilivosema jumlisha kumi nilishaona akili yako ilivofupi nadhani upo nursery school
 
oke tutazunguka taasisi zote za hela mjini hapa tuhakikishe au nitaweka private detective aniangalizie hili swala
a

Sawa nasubiri report ya tume yako!!
 
Wao za kwao ni Salon, kujilemba, na kwenda kupeleka pesa upande wa wazazi wake halafu Mwanamume ufanye kazi ya kuligharamia janamke zima lenye kipato chake.

Huo upuuzi mimi ndiyo siupendi kabisa na potelea mbali niitwe mbinafsi. Shyyyyt.
 
Wao za kwao ni Salon, kujilemba, na kwenda kupeleka pesa upande wa wazazi wake halafu Mwanamume ufanye kazi ya kuligharamia janamke zima lenye kipato chake.
'Wao'...ndo wakina nani????
 
Smile mfano mimi ni bf wako nakufata na bajaji tutoke na Nyani Ngabu anakufata na Prado at the same time huwezi kuniambia kaka yako kaja mnaenda kwa shangazi na itakuwa noma nikija kwako/kwenu?
 
gari ni kisu cha mwanaume kuchinjia wanawake na haijalishi rich poor ama middle class wanawake wanapenda mwanume mwenye usafiri....outing demu utampandisha dala wakati shosti wake wananesa kwenye vitz...gari uleta comfort kwenye kudate
 
Maisha kujipanga kweli. Japo umewaponda sana ila wamekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…