Kwa wakandarasi na wajenzi mitambo inakodishwa.

Joined
Jan 15, 2009
Posts
36
Reaction score
10
Dungu zangu wa jamii forums, ninakodisha mitambo ifwatayo
1.wheel loader cat 930 tsh 500,000
2.wheel loader cat 938g tsh 600,000
3.motor grader 140g na 140h tsh 600,000
4.dozer d6r tsh 700,000
5.excavator cat 320bl tsh 600,000
6.compactor sakai tsh 500,000
7.compactor cat 533e tsh 500,000
8.water bowser 18000ltr tsh 200,000
9.chipping spreader tsh 600,000
10.tractor na jembe lake tsh 150,000
11.reclaimer ss250(soil stabliser) tsh 800,000

bei inaweza pungua kulingana na namba za siku utakayo kodi mitambo.wajenzi,wakandarasi na mtu yeyetote mwenye kuhitaji, mnakaribishwa sana.
Tuwasiliane kwa namba 0686833090. Natanguliza shukrani zangu.
 
uko koa gani?au mtambo yako iko mkoa gani
 
uko koa gani?au mtambo yako iko mkoa gani

kwa hii niliyo orodhesha iko dar-es-salaam,around mwenge area. Kuna mitambo mingine iko mtwara.pia nina vichanja viwili vya kubebea, kwahiyo movement mahala popote sio tatizo. Karibu mkuu
 
4.dozer d6r tsh 700,000

Inaweza kusafisha shamba, kung'oa visiki na miti?

Hiyo gharama ni kwa siku?

Gharama za kubeba huo mtambo zikoje kwa kilomita?

Hizo gharama ni pamoja na mafuta na operator?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…