S siata Member Joined Dec 23, 2010 Posts 31 Reaction score 26 Sep 10, 2014 #1 Habari wadau, Natafuta nyumba ya kupanga bagamoyo mjini maeneo ya sanaa au jiran na hapo,natafua nyumba yenye chumba kimoja,siting room na choo cha kujitegema dau langu ni kati ya 100000 na 120000 msaada tafadhali
Habari wadau, Natafuta nyumba ya kupanga bagamoyo mjini maeneo ya sanaa au jiran na hapo,natafua nyumba yenye chumba kimoja,siting room na choo cha kujitegema dau langu ni kati ya 100000 na 120000 msaada tafadhali