Mtoka Mbali
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 237
- 26
Kama wewe ni mkazi wa Arusha au unategemea siku moja utakuwa Arusha kwa either kuishi, kutembea au kikazi na ungependa kupata usafiri wa uhakika katika mji huo basi tembelea web hii www.acitycarhire.webs.com Nimekuwa Arusha kwa kipindi cha wiki moja na nimewatumia kuanzia siku ya kwanza hadi ya mwisho kweli huduma zao za usafiri ni nzuri. Wao ni kama madreva taxi ila wanaweza kukupatia gari ukaendesha mwenyewe kama unataka hivyo. Tembelea web yao ujue wanafanyaje kazi Home - ARUSHA CITY CAR HIRE