simon baker JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 522 Reaction score 698 Oct 30, 2017 #1 Habari? ase hii bar yangu pendwa naona kama wameifunga? nimekuwa mkiwa kitaa,,nikitoka job ni ndani..vipi kuna spot nyingine nzuri? na je wataifungua lini hii liquid?
Habari? ase hii bar yangu pendwa naona kama wameifunga? nimekuwa mkiwa kitaa,,nikitoka job ni ndani..vipi kuna spot nyingine nzuri? na je wataifungua lini hii liquid?