Kwa wakazi wa Dar es Salaam, nagawa bure mbolea ya ng'ombe

Kwa wakazi wa Dar es Salaam, nagawa bure mbolea ya ng'ombe

Tougher

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
245
Reaction score
65
Wakuu.

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mbolea ya Ng'ombe awasiliane na mimi, nitakupatia bure kabisa.

Karibuni,

Tougher.
 
Wakuu,

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mbolea ya kinyesi cha Ng'ombe awasiliane na mimi, nitakupatia bure kabisa.

Karibuni,


Tougher

Tougher .... unapatikana wapi .... Mbolea ni mbichi ama kavu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom