mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Aisee huwezi amini kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 13 tokea niingie hapa mjini nalala bila kufunga chandarau maana mbu wametoweka kabisaa, hata sauti siisikii kabisaa. Vipi huko kwenu?? Sijui ni nn kimewasibu hawa watesi wangu (mbu) hapa nyumbani.