mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Mimi nikajua wametoweka kabisaaa kama dinosaursSubiri masika, kwa hilo jua linalowaka Dar hakuna mazalia ya hao viumbe kwa sasa...
Mbu ni janga. Walitoweka kidogo upepo ulikuwa unavuma sana lakini hao mbu wawili tu waliobaki wanalet balaa,,hasa kwa umri wangu.
Halafu lazima uwe na medical card,kwa sababu ukiugua halafu unasubiiri subiri kuona kama utapona,hiyo ni shari.
Kuna tatizo la cerebral malaria.
Mimi I believe this,unaweza kusahau kushusha chandarua,mbu wakauuma muda mrefu,ukaamka asubuhi incurable ,not the body,but the mind.