Kwa wakazi wa Dar

Kwa wakazi wa Dar

Asheri Mtula

New Member
Joined
Aug 7, 2023
Posts
2
Reaction score
2
Ni changamoto gani sugu mnakutano nazo kuhusiana na swali zima la makazi?

Je, mnakutana na ugumu wa kupata vyumba,nyumba,viwansehemu za kuishi n.k

Niambie hapa chini kwenye comment ipi ni changamoto yako sugu linapokuja swala la makazi kwa hapa Dar es salaam?
 
Utaitatua au vip? Wew uambiwe ni waziri au nani? Be clear
 
Back
Top Bottom