Wa kiume je?Habari za majukumu wapendwa,mimi nipo Dodoma natafuta marafiki wa kike waliopo Dodoma kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kusaidiana mambo ya kike kama ambavyo mnajua wanawake tunapenda kushirikiana.Sina muda mrefu sana tangu nihamie mkoa huu kwaiyo nakuwa mpweke sana sina marafiki wa kutembeleana nao na kupiga nao story.Kwa wadada au wamama wenzangu mlio tayari basi tukutane PM tufahamiane vizuri.Nawapenda sana.
Kutafuta marafiki wa kushirikiana nao katika shida na raha ni ulesbian?hebu muogope Mungu na usipende kuhukumu binadamu wenzio.Ulitaka niseme natafuta marafiki wanaume hata kama ninae mwanaume wangu tayari?are u lesbian??usije ukaanza kuwatomasa huko mkavuana
are u lesbian??usije ukaanza kuwatomasa huko mkavuana