comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mkuranga kama unahitaji lipo zuri kwa kazi yako,Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe.
Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani?
Maisha haya nataka niyaandae hata kidogokidogo nifkie hapa 👇👇
View attachment 3529034
View attachment 3529035
View attachment 3529036
View attachment 3529038
Sawa sawa mkuuMkuranga kama unahitaji lipo zuri kwa kazi yako,
Wewe ndio upo huko?Ukitaka kwa maeneo ya Rufiji karibu
Kila la kheri ndugu yanguNina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe.
Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani?
Maisha haya nataka niyaandae hata kidogokidogo nifkie hapa 👇👇
View attachment 3529034
View attachment 3529035
View attachment 3529036
View attachment 3529038
Kila la kheri ndugu yanguNina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe.
Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani?
Maisha haya nataka niyaandae hata kidogokidogo nifkie hapa 👇👇
View attachment 3529034
View attachment 3529035
View attachment 3529036
View attachment 3529038
Pamoja sanaKila la kheri ndugu yangu
Mkuu Rufiji ni mbali sana na Dar, huko eka moja makadirio bi bei gani?Ukitaka kwa maeneo ya Rufiji karibu
Bei ya heka huko ni kiasi gani mkuu??Ukitaka kwa maeneo ya Rufiji karibu
Laki 5 hadi 8Bei ya heka huko ni kiasi gani mkuu??
Kutoka kimanzichana njiani hadi 20km bado ni 500k, mbona bado kubwa?Maeneo yenye Nafasi kwa sasa nayosikia
1.Kimanzichana
2.Bungu
Huku Bungu bei mserereko mno ila hata kimanzichana ukienda ndan 20km zipo hadi heka 500k
Bungu 10km 500k
Sijui dalali wala Muuzaji Wala sio Mkazi wa hayo maeneo..
Mtu asiniulize more info kuhusu maeneo haya hizi n taarifa nilizochimba binafsi tu
Ndio bei zao wenyewe hizo Mkuu, sijajua zaidiKutoka kimanzichana njiani hadi 20km bado ni 500k, mbona bado kubwa?