Wenye mapenzi ya biashara mliopo mikoaa hiyo mnaawezaa kupiga pesa na kupata milioni kwa mwezi ila mtaji uwe milioni 8-10 ndo utaweza Fanya Mwenye shida ya kujua na Mwenye mtaji aje pm
Si uifanye wewe mwenyewe hiyo biashara uwe tajiri! Au wewe hupendi kuwa tajiri? Au si uwape ndugu zako hayo maarifa, au ndugu zako hawapendi kuwa matajiri? Pita kule mzushi wewe.